Michezo

Msikilize Mbwiga leo February 11.

on

onair

Siwezi kukusahau mtu wangu wa nguvu unaefatilia mtekenyo huu wa Mbwiga wa Mbwiguke ukupite hivi hivi,leo mbwiga kazungumzia zile timu ambazo zinawatoa wachezaji wake halafu baadae zinawasajiri tena na hii ni baada ya kuona wameng’aa baada ya kutoka kwenye timu hiyo.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments