Michezo

Msikilize Mbwiga wa January 23

on

images2kawaida ya millardayo.com ni kukuwekea vitu ambavyo pengine hukupata muda wa kuvifanya kama kusikiliza Radio na kusoma magazeti,tumia muda huu Kuikamilisha siku yako kwa kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke,hii ni dakika moja tu ya kumsikiliza anachokuzingumza kuhusu taarifa za michezo kwa kipindi cha nyuma na leo kamzungumzia Mchezaji Charls Makwaza Sikiliza Kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.

Bonyeza play kumsikiliza.

Tupia Comments