Michezo

Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 6

on

studio5Huu ni mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke ambao unakuwepo kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara,Ni stori ambazo zinahusu michezo na wachezaji ikiwa ni pamoja na vituko vyao kwa miaka ya nyuma.

Bonyeza play kumsikiliza.

Tupia Comments