Michezo

Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 8

on

on airMtekenyo huu huwa unausikiliza kupitia Sports Extra saa 3 usiku mpaka saa 4 hizi ni dakika 2 ndani ya dakika 60 za Sports Extra Clouds FM (88.0 Tabora) unapata nafasi ya kumsikiliza Mbwiga akizungumzia soka ambapo kwa sasa yupo Kigoma kaongea na moja ya wachezaji mashuhuri Tanzania.

Bonyeza play kumsikiliza hapa chini.

Tupia Comments