Michezo

Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 9

on

radio-studio-on-airMbwiga leo kaizungumzia mechi ya mwaka 1970 mechi ambayo ilichezwa Buguruni kati ya Pulu England na Rova Fire,ni mechi iliyoteka hisia za mashabiki na iliyojawa na vituko vilivyofanywa na beki wa Pulu England sikiliza vituko hivyo kupitia 92.9 Clouds Fm Njombe.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments