Michezo

Msikilize Mbwiga wa Mei 08.

By

on

mpiraaHiki ni kitu kingine ambacho kinakamilisha Sports Extra ya Clouds Fm ambacho kinahusu simulizi za michezo hasa upande wa mpira wa miguu,huu ni mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke wa leo Mei 08 ambao umezungumzia timu ya Viva Res Star dhidi ya Yanga.

88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Morogoro.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments