Top Stories

Aliemteka Mtoto na kumnyonga Mbeya amekamatwa, Kamanda “Ni mbakaji ametoka Gerezani” (+video)

on

Jeshi la Polisi Mbeya wamemkamata Mtuhumiwa wa mauaji ya Mtoto wa miaka 8 ambae kabla ya kumuua alitaka Wazazi wampe Milioni 10 amuachie, Mtuhumiwa anayo historia ya makosa ya jinai kwani kabla ya hii alikua ametoka Gerezani alikofungwa kwa kosa la kubaka

RPC Mbeya Ulrich Matei amesema mtuhumiwa ana historia ya makosa ya jinai kwani kabla kufanya tukio hilo alitoka katika Gereza la Butimba kwa kosa la kubaka ndipo alipoamua kwenda Mbeya nakuteka Mtoto huyo ili apate fedha.

BABA ASIMULIA MTOTO WAKE ALIVYOTEKWA NA KUNYONGWA MBEYA, MTEKAJI ALITAKA MILIONI 10

MWENYEKITI ALIPOTEKWA NA KUNYONGWA MTOTO AZUNGUMZA “GARI YENYE TINTED, TUNAANDIKA MAJINA”

Soma na hizi

Tupia Comments