Habari za Mastaa

Anaemsomesha Mtoto wa Masogange awavaa Mastaa “acheni midomo, Steve hajala hela” (+video)

on

Mkurugenzi wa Shule ya Patrick Mission High School Ndele Mwaselela ambaye ndie anamsomesha Mtoto wa Marehemu Agness Gerald (Masogange) amekaa kwenye Interview na AyoTV na millardayo.com kuelezea mambo mablimbali kumhusu Mtoto wa Masogange.

Mwaselela amegusia maendeleo ya Mtoto Sania Shuleni, pia kaweka wazi juu ya madai yaliyokuwa yanaendelea mtandaoni juu ya Steve Nyerere kuwa kala hela za rambirambi ambapo amesema yeye ni shahidi aliona Steve akikabidhi.

BOSS WA BWANA HARUSI KAFUNGUKA A TO Z ALIVYOFARIKI BI.HARUSI AJALINI, GHARAMA YA HARUSI

 

Soma na hizi

Tupia Comments