AyoTV

Usijidanganye kufanya ujambazi Dar, nimeipata hii leo…(+Video)

on

leo April 8 2016 Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kupitia kwa KamishnaSimon Sirro, limetangaza kuwakamata majambazi  63 wa matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha katika oparesheni iliyofanyika ndani ya wiki moja.

Kamanda Sirro amesema ‘Tarehe 07/04/2016 majira ya saa 09:15 usiku katika eneo la Vingunguti uwanja wa Koroni, Kikosi maalum cha kupambana na majambazi kilifanikiwa kukamata silaha aina ya SMG iliyokatwa kitako katika bonde la mto msimbazi

katika tukio lingine, tarehe 4/4/2016 majira ya saa 08:45 asubuhi katika barabara ya Ally Bin Said, Askari wakiwa kwenye operesheni ya kusaka wahalifu wa makosa mbalimbali katika wilaya ya Kinondoni, walifanikiwa kukamata silaha mbili Rifle ambazo hazikuwa na risasiSimon Sirro

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Ilikupita hii Video ya Rais Magufuli alivyotua kwa ndege Dar akitokea Rwanda ?

 

Soma na hizi

Tupia Comments