Top Stories

MC Pilipili: kutoka kuwa MC mpaka kuuza Samaki kwa kuwasambazia Wateja mtaani (+video)

on

Wanasema sio kila Mtu maarufu anaweza kubadili upepo na kujishusha kufanya biashara nyingine ambayo wengi wanaweza kuiona sio ya hadhi yake ila Emmanuel Mathias (MC Pilipili) ambaye ni Mshereheshaji maarufu Tanzania ameweza kuuza samaki na kuzitembeza kwa Wateja wake maeneo mbalimbali ya Dar, nini kimemsukuma kufanya hivyo? amefanikiwa? bonyeza play hapa chini kumtazama

MWANAMKE ALIEKWENDA MOCHWARI KUMTAFUTA MUME WAKE, KWANINI ANAICHUKIA FATHER’S DAY

Soma na hizi

Tupia Comments