Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Wizara ya Michezo imewasilisha bajeti yake ya Bilioni 20
Share
Notification Show More
Latest News
TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Wizara ya Michezo imewasilisha bajeti yake ya Bilioni 20
AyoTV

VIDEO: Wizara ya Michezo imewasilisha bajeti yake ya Bilioni 20

May 13, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

May 13 2016 Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha  Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 na Waziri mwenye dhamana hiyo Nape Nnauye.

Akisoma hotuba hiyo Nape amesema…’Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 Wizara imepanga kukusanya jumla ya shilingi Milioni mia nane ishirini na wlfu tano. (Sh.820,005,000) kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato‘

‘Makusanyo yameshuka kutoka Shilingi Bilioni moja, Mia tatu thelathini na elfu nane (Sh. 1,330,008,000) hadi Sh. 820,005,000 kutokana na makusanyo  yaliyokuwa yakikusanywa na Bodi ya Filamu katika sekta ya maendeleo ya utamaduni kutolewa‘

‘Ili Wizara iweze kutekeleza majukumu na amlengo yake ya mwaka wa fedha 2016/2017 naomba sasa bunge lako tukufu liidhinishe bajeti ya jumla ya Sh. 20,326,176,000 ambapo kati ya hizo, fedha za matumizi ya kawaida ni Sh. 17,326,176,00‘

ULIIKOSA HII DIAMOND NA MAFIKIZOLO WALIVYOKARIBISHWA BUNGENI ?

https://www.youtube.com/watch?v=OXjkIF0U6UE

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kwenye Banda la Bandari

Hawa ndio Washindi wa pili wa tuzo za ACOYA

Hifadhi ya Mpanga Kipengere kusherehekea siku ya Maanguko ya Maji Duniani

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

TAGGED: Ayo TV, Bungeni, habari daily
Admin May 13, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 10: Mastaa wa Bongo Wema Sepetu, Masanja, JB na wengine walivyopokelewa Bungeni leo
Next Article VIDEO: Mtazame Mbunge Agness Marwa akitamani hata kulia kisa ishu ya Bunge Live
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
Top Stories September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023

September 30, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

September 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

September 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

September 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?