Top Stories

Tamko la Baraza la Habari Tanzania kuhusu kupigwa risasi Tundu Lissu

on

Siku Nne zimepita tangu Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Area D, Dodoma baada ya shughuli za Bunge September 7, 2017, Baraza la Habari Tanzania ‘MCT’ limesema limesikitishwa na jaribio hilo la mauaji.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kupitia kwa Katibu Mtendaji Kajubi Mkajanga leo September 11, 2017 Baraza hilo linaungana na wapenda amani na wadau wa habari na wa haki ya kujieleza na kutoa maoni kulaani kitendo hicho.

Zitto Kabwe kuhusu kushambuliwa kwa risasi Tundu Lissu

Soma na hizi

Tupia Comments