Michezo

PICHA 18: Hana miguu yote miwili lakini ndoto ya kucheza mpira haijafa

on

Shabiki wa soka nchini Bangladeshi ambaye alipoteza miguu yake yote miwili katika ajali ya treni anasema licha ya kutokuwa na miguu bado ana ndoto za kuwa mchezaji ambaye atashindana na Cristian Ronaldo.

Mohammad Abdullah  mwenye miaka 22, alipoteza miguu yake miwili kwenye ajali ya treni miaka kumi iliyopita lakini sasa kijana huyo ambaye pia anafanya kazi kama mbeba mizigo katika kituo cha kivuko, sasa anatengeneza jina kwa ujuzi wake wa mpira wa miguu .

Abdullah alitelekezwa na mama yake wakati akiwa na miaka saba na akawa amelelewa na baba yake na mama yake wa kambo kabla hajakimbia

>>>’nilikuwa na hasira na mnyonge, nisiye na msaada , niliishi barabarani na kuomba msaada na baada ya miezi kadhaa nilipata sehemu ya kukaa na bibi yangu’

Baada ya ajali kwenye treni alikimbizwa hospitali ambapo alibaki peke yake wala hakuna mtu yeyote kutoka kwenye familia yao aliyefanya mawasiliano naye. Hatimaye hospitali ilimpeleka kwenye kituo cha watoto yatima baada ya yeye kupata nguvu. Kituo kilimpeleka shule ambapo Abdullah anakiri kuwa alisoma kwa miezi 18 lakini baadaye alikimbia tena

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

.

.

ULIKOSA HII KWAMBA USILE CHAKULA CHAKULA CHA USIKU SAA MBILI, MWISHO NI SAA KUMI NA MOJA JIONI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments