Habari za Mastaa

Mchekeshaji maarufu Trevor Noah apata shavu ku-host tuzo za Grammy 2022

on

Ni Mchekeshaji maarufu kutokea nchini Afrika Kusini, Trevor Noah ambapo time hii amepata nafasi ya pili kwenda ku-host utoaji wa tuzo za Grammy 2022.

Trevor Noah ametangazwa rasmi leo Desemba 2, 2021 kupitia ukurasa wa waandaji wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Mwakani 2022 Mwezi January huko Los Angeles nchini Marekani.

Ikumbukwe hii itakuwa ni mara ya pili kwa mchekeshaji huyo hapa nimekusogezea ushuhudie staa huyo akielezea safari yake ya kuelekea ku-host tuzo hizo.

 

 

Tupia Comments