AyoTV

Mchezaji wa Kitanzania “Soka Sweden halilipi, nilifungwa jela huo uzushi?”

on

Leo kwenye countdown pia tunae Mtanzania Yussuf Abbas Soka ambaye kwa muda mrefu amekuwa nchini Sweden akicheza soka katika vilabu mbalimbali na msimu ulioisha aliichezea club ya IFK Ostersund ya daraja la pili Sweden na kuibuka mfungaji bora wa club hiyo kwa kufunga magoli 15 timu ikimaliza nafasi ya sita.

Vipi soka Sweden linamlipa sana kiasi cha kuamua kubaki Sweden kwa muda mrefu na vipi kuhusiana na stori ambazo ziliwahi kusikika kuwa Yussuf Soka amefungwa Sweden? Abbas anasema soka Sweden halilipi kutokana na mfumo wao lakini yeye hakufungwa ni uzushi watu walizusha.

VIDEO: BAADA YA LIGUE 1 NA LIGI KUU KENYA KUFUTWA, NIYONZIMA ANAUSHAURI HUU VPL

Soma na hizi

Tupia Comments