Michezo

Mchezaji wa timu ya Taifa Musa Tombo alivyoagwa na mkewe akielekea AFCON

on

Ni Headline za mchezaji wa timu ya Taifa ya Sierra Leone aitwae Musa Tombo amechukua  vichwa vya habari namna watu wengi walivyoguswa na hisia pale Mkewe alivyomuaga Airport.

Mchezaji huyo ameondoka nchini humo na kuelekea kwenye michuano ya AFCON2021.

Unaweza ukatazama hapa ushuhudie mwanzo mwisho.

 

Soma na hizi

Tupia Comments