Michezo

Mchezaji wa Yanga aliesaini mkataba mpya wa miaka miwili

on

Mchezaji wa Yanga Bernald Morson Ameongeza Mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabingwa wakihistoria kutoka Jangwani.


Morson amesaini mkataba huo chini ya udhamini wa Kampuni ya GSM

Soma na hizi

Tupia Comments