Michezo

Mchezaji wa Yanga Mukoko Tonombe aomba radhi

on

Mchezaji wa Yanga SC, Mukoko Tonombe amewaomba radhi Mashabiki na Viongozi wa Club hiyo kutokana na kosa alilolifanya kwenye mechi ya jana vs Simba na kupelekea kutolewa nje kwa kadi nyekundu.

“Nawaomba radhi Mashabiki, Viongozi na Mashabiki, na Benchi la Ufundi kwa kilichotokea katika mchezo wa Fainali wa Yanga vs Simba kwamba sijakusudia kupewa kadi nyekundu ambayo labda ndio ilikuwa sababu ya kupoteza mchezo huo, naipenda sana Team yangu, Yanga Daima milele nyuma mwiko” —Mukoko.

TAZAMA HAPA UJIONEE TONOMBE ALIVYOPELEKWA KWENYE AMBULANCE JULY 25, 2021 MCHEZO YANGA DHIDI YA SIMBA

TAZAMA SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA, WAMBEBA MORRISON JUUJUU AIPORT DSM

 

Soma na hizi

Tupia Comments