Michezo

Mchezaji wa zamani Liverpool achomwa kisu

on

Beki wa zamani wa Liverpool anayecheza Derby County Andre Wisdom akabwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali kinachotajwa huenda ikawa ni kisu na watu wasiojulikana na sasa yupo hospitali akipatiwa matibabu.

Tukio hilo limemtokea Toxteh Merseyside akiwa anashuka kwenye gari yake kwa ajili ya kwenda kutembelea ndugu zake ikiwa ni muda mchache umepita toka atoke kwenye mechi dhidi ya Reading, Wisdom alikuwa Liverpool (2012-2017).

Soma na hizi

Tupia Comments