Michezo

Unaambiwa huyu ndio mchezaji bora wa dunia kwa Wanawake.

on

UEFA+-+Germany+Women+-+Nadine+AngererHuyu ndiye Mchezaji bora wa kike wa dunia wa tuzo ya Ballon D’or leo jijini Zurich, ni kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani anaitwa Nadine Angerer.
0,,16989205_303,00Nadine Angerer ambaye pia ni kipa bora wa Ulaya aliiwezesha Ujerumani kubeba ubingwa wa Ulaya baada ya kutoa penalti mbili katika fainali dhidi ya Norway.

story toka salehjembe.blogspot.com

Tupia Comments