Top Stories

Mtanzania alieajiri Wachina zaidi ya mia tatu nchini kwao (+video)

on

Salaah Mohamed ni Mtanzania anaeishi China kwa zaidi ya miaka 10 pia ndie Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Silent Ocean kwenye mahojiano na AyoTV na millardayo.com anasemaTanzania ni rahisi kupata usajili wa kampuni kuliko China na tayari ameajiri Wachina zaidi ya mia tatu.

MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA

Soma na hizi

Tupia Comments