AyoTV

Mambo ya kufahamu kuhusu SSK, historia na wasanii wake (+Video)

on

SiSi Sio Kundi ‘SSK’ ni Kundi la muziki linaloundwa na Wakazi, Zaiid, P The MC na Producer Cjamoker ambapo leo hii wamekaa kwenye Ayo TV na millardayo.com na kueleza jinsi walivyokutana mpaka kufanya kazi kwa pamoja.

Wakali wawili kutokea kundi hilo Wakazi na P the MC wamefunguka kuhusu kundi hilo wakisema wao ni zaidi ya kundi ambapo tayari wameshatengeneza album na kusisitiza hawatovunjika na ikitokea hivyo itakuwa tayari wameshafikia malengo.

>>>“Tofauti kubwa ya kwanza ni; OMG walianza kama Kundi lakini SSK tulianza tukiwa tayari tuna brand zetu. Kwa hiyo tukaungana kutengeneza hili. Wanasema umoja ni nguvu ndio maana tukaweza kuanzisha kundi.” – P the MC.

Itazame full video hapa chini kwa kubonyeza Play..

Mabibi na Mabwana….. Huyu ndio Msanii mpya wa WCB 

Soma na hizi

Tupia Comments