Habari za Mastaa

Mchujo filamu 600 zilizopita kuwania tuzo ni 120 (video+)

on

October 20, 2021 umefanyika mchujo wa Filamu zitakazo shiriki kwenye mchakato wa Kuwania Tuzo za Bodi ya Filamu mwaka huu.
Hapa tunaye Mjumbe wa Bodi ya Filamu, Rais wa Shirikisho la Filamu nchini na Mwigizaji Thea ambao wamezungumza kuhusu mchakato.

FIESTA IPO KWELI MWAKA 2021? NCHAKALI ATOA MAJIBU

Soma na hizi

Tupia Comments