Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Manchester City na mipango yake kwa nyota hawa

on

playKlabu ya Manchester City iko mbioni kuwanyakua nyota wa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chake kufuatia matokeo mabaya msimu huu.

Baadhi ya majina ya nyota ambao klabu hiyo imepanga kuwanyakua kwa gharama yoyote ni pamoja na Mbrazil Phillipe Coutinho, nyota wa England Raheem Sterling pamoja na Jordan Henderson.

philipeMwenyekiti wa klabu hiyo amesema wamepanga kutumia mamilioni ya fedha kununua wachezaji wapya watakaoongeza nguvu ndani ya timu hiyo.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments