Vituko/ Comedy

MC PiliPili alivyokutana na watu wake kwenye Stand Up Comedy Mwanza…(+Pichaz)

on

Kwenye tafiti zilizowahi kufanyika wataalamu wanasema Binadamu akiwa na furaha anaongeza siku za kuishi, Watu wangu wa Mwanza usiku wa jana walitembelewa na mchekeshaji maarufu MC PiliPili unaambiwa watu walishika mbavu kila alipoongea na ule utani wake, Kwenye upande wa Burudani alikuwepo msanii wa Bongo Fleva Barnaba, ripota wa millardayo.om kazipata picha za tukio zima ruhusa kuzitazama.

Image00005

Watu wangu kwenye furaha ya aina yake

Image00007

Image00004

Image00014

MC PilPili na pozi la kazini kabisa

Image00006

Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula nae alikuwepo

Image00008

Lazima ucheke tu hakuna namna

Image00010

Mtangazaji wa 360 ya CloudsTV Hudson Kamoga, kwenye pozi la umakini

Image00015

Muda wa zawadi kutoka kwa Mbunge

Image00016

Msanii Barnaba akionyesha ufundi wake

Image00013

Mchekeshaji MC PiliPili

Image00012

Image00003

Image00002

Mchekehaji Dogo Pepe

Image00001

Mrembo kwenye furaha yake

Image00011

Image00017

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Tupia Comments