Habari za Mastaa

Mdananda afunguka maisha ya Jack Cliff baada ya kutoka Jela (video+)

on

Jamaa waliowahi kupata umaarufu kupitia video ya wimbo wa Shetta wa Mdananda, Customer Care amefunguka maisha ya Jack Cliff aliyewahi kuwa mpenzi wa Jux, baada ya kumaliza muda wa kifungo chake huko China.

 

MDANANDA AFUNGUKA WANAOJIITA CHAWA, ASIMULIA MAISHA YAO YA KUTEGEMEA MATAJIRI

Soma na hizi

Tupia Comments