Top Stories

JPM kapangua tena Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya

on

Rais Magufuli leo August 23, 2017 amemteua Luteni Kanali Frederick Felix Milanzi kuwa Kamishna wa Operesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya.

Luteni Kanali Frederick Felix Milanzi anachukua nafasi ya Mihayo Msikela ambaye amerejeshwa Makao Makuu ya Polisi ambapo uteuzi wa Luteni Kanali Milanzi unaanza mara moja.

ULIPITWA? AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete nyumbani kwake Msoga, asema “NANENEPA SIKU HIZI, MLIKUA MNANIFUJA” Tazama FULL VIDEO hapa chini

BREAKING NEWS: Polisi nyumbani kwa Tundu Lissu leo Aug 23, tazama hii video hapa chini

APP MPYA: Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo’ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments