fB insta twitter

Alichokiandika Nay wa Mitego Baada ya Vanessa Mdee kushikiliwa na Polisi.

on

Baada ya jana Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro kuthibitisha kumshikilia mwimbaji Vanessa Mdee kwa tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya, Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Instagram ameyaandika haya….

Sijui ulipo anzia, But mpaka apa Ulipofikia Umepambana sana, Nina Imani #Mungu Ndo aliye kufanyia Wepesi mpaka kua #BrandKubwa na kupata hatua Ulizo nazo. Naamini Mungu Huyu Huyu ndiye atakae kufanyia Wepesi Kwenye yanayo kukabili ivi sasa.

Amini hizi ni Changamoto tu na ni Mapito ambayo Binadamu tunapitia kwenye Safari ya kuelekea kutimiza Ndoto zetu, I pray for you my Friend @vanessamdee Naamini Brand yako haiwezi haribika kirahisi Coz ume pambana Sana ni wasichana wachache wenye kuweza Ku Fight Kama wewe.

Mungu ata kusimamia uzidi kusonga mbele, Haya yata pita Nina Imani utakua StrongZaidi. #CashMadame KeepItUp. Napenda kuona Wasichana wakifanikiwa kwa kufanya Kazi kwa Bidii #VannesaTheBrand Wewe ni Mwanamke wa Shoka, Usiyumbishwe kua Mfano. Najivunia uwepo wako kwenye Game ya Muziki Wetu. Don’t give up✊?#VannesaTheBrand

@vanessamdee Sijui ulipo anzia, But mpaka apa Ulipofikia Umepambana sana, Nina Imani #Mungu Ndo aliye kufanyia Wepesi mpaka kua #BrandKubwa na kupata hatua Ulizo nazo. Naamini Mungu Huyu Huyu ndiye atakae kufanyia Wepesi Kwenye yanayo kukabili ivi sasa. Amini izi ni Changa moto tu na ni Mapito ambayo Binadamu tunapitia kwenye Safari ya kuelekea kutimiza Ndoto zetu, I pray for you my Friend @vanessamdee Naamini Brand yako haiwezi haribika kirahisi Coz ume pambana Sana ni wasichana wachache wenye kuweza Ku Fight Kama wewe. Mungu ata kusimamia uzidi kusonga mbele, Haya yata pita Nina Imani utakua StrongZaidi. #CashMadame KeepItUp. Napenda kuona Wasichana wakifanikiwa kwa kufanya Kazi kwa Bidii #VannesaTheBrand Wewe ni Mwanamke wa Shoka, Usiyumbishwe kua Mfano. Najivunia uwepo wako kwenye Game ya Muziki Wetu. Don’t give up✊? #VannesaTheBrand

A post shared by NayTrueboy (@naytrueboy) on


VIDEO: Polisi DSM kuhusu kukamatwa kwa Vanessa Mdee, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments