AyoTV

VIDEO: Sababu zilizotajwa kumsamehe Halima Mdee baada ya kumtukana Spika

on

Baada ya kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo May 2, 2017 kutangaza adhabu dhidi ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee ya kutoshiriki vikao vyote vya bunge la bajeti vilivyobaki baada ya kukutwa na kosa la kudharau mamlaka ya spika.

Waziri Jenista Mhagama aliongoza wabunge kutoa hoja ya kufanya mabadiliko ya maamuzi ya kamati hiyo ili kutoa msamaha kwa Halima Mdee.

Tayari nimekuwekea full video hapa chini…

VIDEO: Bunge lilivyoyataja makosa na adhabu za Halima Mdee, Mbowe na Bulaya

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments