Habari za Mastaa

PICHA: Diamond Platnumz akutana na wasanii wa Rwanda

on

Star kutokea Bongoflevani Diamond Platnumz mwishoni mwa weekend hii alikuwa nchini Rwanda ambapo alienda kwenye mambo yake binafsi ikiwa ni pamoja na kutangaza bidhaa zake za Diamond Karanga na Chibu Perfume kisha kupata nafasi ya kukutana na wasanii wa nchi hiyo..

Diamond amepost picha kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na wasanii wa Rwanda wakipata Dinner na kushare experience kuhusu muziki…>>>”Last night during my Dinner with my Fellow Artists from #Rwanda! It was a great evening, sharing experiences and ideas….Time to put our East African / African industry on the global map! Let’s do it, fam….✊” – Diamond Platnumz

MSIBA WCB: Chanzo cha vifo vya Mashabiki wawili wa WCB kwa mpigo

“Siwezi muita Heri Muziki mpenzi wangu kanidhalilisha redioni” Diva

Soma na hizi

Tupia Comments