AyoTV

VIDEO: ‘Kuna wabunge wanakaa hapa wanashindwa kuiambia serikali ukweli’-Halima Mdee

on

Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni leo April 10, 2017 kuchangia maoni yao kuhusu mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

VIDEO: ‘Mnyonge mnyongeni, Pangani tunatatizo la barabara na maji’-Mbunge Jumaa Aweso 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments