Top Stories

“Madereva ni hatari zaidi ya Ukimwi” RPC Pwani

on

Leo May 17, 2018 Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani Jonathan Shama ametoa tahadhari kwa madereva wazembe kuwa makini kwani yeye saivi atakuwa mkali kuliko wakati wowote kwani ajali moja inaua watu wengi kwa wakati mmoja kuliko hata magonjwa yanayotajwa kuwa hatari.

MAGAZETI LIVE: Ishu ya wanawake wenye Makalio, Nape Bashe waamsha Dude

 

Soma na hizi

Tupia Comments