AyoTV

Cheki video ya vituko vya mashabiki na magoli ya mechi ya Mtibwa Sugar 1-2 Yanga Mapinduzi Cup 2016 …

on

Usiku wa January 7 ulipigwa mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani dhidi ya klabu ya Dar Es Salaam Young Africa. Timu zote hizo zilikuwa zimefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Lakini mchezo haukuwa rahisi, ulikuwa ni wa vituko mbwembwe za mashabiki wa Yanga baada ya ushindi wa goli 2-1. Cheki video ya kila kilichotokea.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments