Mix

Kilichojiri mechi za kundi E, Ufaransa vs Ecuador – Switzerland vs Honduras

on

Nigeria.

20140626-093715-34635758.jpg

Michuano ya kombe la dunia imeendelea jana usiku kwa mechi za kundi E, ambapo Ufaransa walikutana na Ecuador na Switzerland ikakutana na Honduras.

Ufaransa ilikamilisha mechi za makundi kwa sare tasa dhidi ya Ecuador.

Licha ya sare hiyo Ufaransa ilisalia kileleni mwa kundi E ikiwa na alama 7 moja zaidi ya Switzerland iliyoisakama Honduras katika mechi ya mwisho.

Les Blues walifuzu katika raundi ya 16 bora ambapo sasa watachuana na Nigeria .

Switzerland watakutana na Argentina ambao nao walimaliza mechi za makundi wakiwa kileleni mbele

Tupia Comments