Michezo

Mecky Mexime Kocha wa Cambiasso Sports

on

Kocha Mecky Mexime leo amesaini mkataba wa miaka miwili kama Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Sports Management.

Mexime ameeleza kuwa ameamua kufanya kazi na Cambiasso kwa sababu anataka kutuliza Kichwa chake kutokana na vilabu vya Tanzania baadhi ya viongozi hawana ueledi wa soka.

“Mimi sasa hivi nimeshaingia Cambiasso nimepumzisha kichwa kwa sababu huku kwenye vilabu vyetu wajinga wajinga wengi na ndio mpira wetu sisi unapofeli, sisi walimu wa mpira kuna wakati tunafukuzwa kazi na watu wajinga tu”>>> Mexime

Soma na hizi

Tupia Comments