Habari za Mastaa

Meek Mill na Future washirikiana kukuletea video hii mpya: Jump Out The Face.

on

future-meek

Baada ya kutumbwiza kwenye tuzo za BET Awards mwaka huu na kudondosha album yake mpya ya Dreams Worth Than Money, Meek Mill ameanza wiki hii na video mpya ya wimbo wake Jump Out The Face aliomshirikisha msanii mwengine wa Hip Hop Future.

Meek Mill anategemea kuungana na girlfriend wake Nicki Minaj kwenye tour yake ya PinkPrint Tour itakayo anza rasmi jijini Dallas tarehe 17 mwezi huu.

Nimekusogezea video hiyo hapa chini mtu wangu bonyeza Play kuitazama.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments