Habari za Mastaa

Nicki Minaj na boyfriend Meek Mill ndani ya video moja ! all eyes on me..

on

NM 2Wiki chache zilizopita Meek Mill aliweka headlines kubwa na wimbo wake wa All Eyes on You aliomshirikisha girlfriend wake Nicki Minaj na RnB Superstar Chris Brown, wimbo ambao ulifanya vizuri sana kwenye chati za Billboard.

Hawajakaa kimya sana, Meek Mill, Nicki Minaj na Chris Brown wamerudi tena kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani, video ya All Eyes on You imeshatoka tayari na unaweza kuitazama hapa chini.

https://youtu.be/c2cL_3xrIQ8

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments