Top Stories

Meli mpya ya New Victoria ilivyowasili Bukoba kwa mara ya kwanza (+video)

on

Baada ya Serikali kuwekeza Shilingi Bilioni 22.6 kuifufua meli ya kazi imekamilika na kuanza kufanyiwa majaribio. Kwa sasa inajulikana kama New Victoria. Hapa imewasili Bukoba.

HD: MAGUFULI APANDA KIBERENGE, IGP SIRRO, MKUU WA MAJESHI WAKAA PEMBENI yake

Soma na hizi

Tupia Comments