Habari za Mastaa

Mellow & Sleazy wakali wa Amapiano walivyoinogesha Groove Cartel (video+)

on

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Leo nakukutanisha na wakali Mellow na Sleazy ushuhudie namna walivyoinogesha Groove  Cartel.

 

Tupia Comments