Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe ambaye June 30 alikabidhi rasmi fomu kwenye ofisi za makao makuu ya CCM kama mmoja wa waliotangaza nia ya kuomba kuteuliwa kugombea urais 2015, amezipokea RT’s kwenye twitter yake baada ya kuweka picha akiwa na Zitto Kabwe kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo.
Baada ya kuiweka hii picha aliandika ‘Siasa sio uadui, tumeweza kupingana bila kupigana tuendeleze utamaduni huu adhimu.’
Siasa sio uadui, tumeweza kupingana bila kupigana tuendeleze utamaduni huu adhimu. pic.twitter.com/WvxddTwSwB — Bernard Membe (@BernardMembe) July 1, 2015
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.