AyoTV

Meneja atoa tamko uwanja wa Sokoine umekamilika, tunawasubiri Bodi ya Ligi

on

Baada ya bodi ya Ligi kuufungia uwanja wa Sokoine Mbeya kwa kuharibika kutokana na idadi kubwa ya mashabiki waliojitokeza katika tamasha la muziki lililofanyika uwanjani hapo, meneja wa uwanja huo Modestus Mwaluka leo ameongea na AyoTV na kueleza kuwa uwanja huo umekamilika kwa sasa bado vitu vidogo vidogo halafu watume barua bodi ya Ligi ili waufungulie rasmi na club za Mbeya City na Prisons ziendelee kuutumia.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments