Habari za Mastaa

Meneja wa harmonize kafunguka kuhusu kusainiwa kwa Ibrah Konde GANG

on

NI Uongozi wa Konde Gang lebo inayosimamiwa harmonize ambapo leo April 13, 2020 imefanya mahojiano na millardayo.com & Ayo TV kuelezea mengi kuhusu msanii wa kwanza aliesainiwa aitwae Ibrah.

Bonyeza Play kumsikiliza menjea huyo akifunguka mwanzo mwisho

ULIIKOSA HII MSANII WA NIGERIA BURNA BOY AKIFUNDISHA P DIDDY JINSI YA KUCHEZA STYLE YA WIMBO WAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments