Habari za Mastaa

Namna Meninah na Linah walivyoamua kuunganisha birthday zao Jumapili hii March 16.

on

f495c851ffa8afc1f3f17fc563a12d03Hii ni party ambayo imeamua kuunganishwa na sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa ya warembo hawa na  wanamuziki kutoka Tanzania ni Meninah na Linah kutoka THT ambao kwa pamoja watasherehekea siku hii muhimu na watu wao.

Kutakua na wasanii wengi ambao watasandikiza show hii iliyopewa jina la Usiku wa Meninah miongoni mwao ni Mirror,Wakazi,Quick Rocker,Angel,Asia,Tash na wengine kibao,party hii itafanyika pale Club Billcanas kwa kiingilio cha Tsh.8,000 tu.

 

Tupia Comments