Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Watu saba waburuzwa Mahakamani kisa vurugu mgodini Mirerani
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Watu saba waburuzwa Mahakamani kisa vurugu mgodini Mirerani
Top Stories

Watu saba waburuzwa Mahakamani kisa vurugu mgodini Mirerani

March 17, 2023
Share
3 Min Read
SHARE

Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite Jiji la Arusha Joel Mollel ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Gem & Rock Venture na wenzake saba wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kujibu Mashtaka mawili ya shambulio na kukaidi amri ya Wizara ya Madini katika tukio lililotokea march 13 mwaka huu katika Mgodi wa Kitalu C inayomilikiwa na serikali na Mwekezaji Mzawa Onesmo Mbise.

Wakisomewa Mashitaka na Mwendesha Mashitka wa Polisi, Mosses Hamilton Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Charles Uiso ilidaiwa kuwa katika shitaka la Kwanza linalowahusu washitakiwa wote saba ilidaiwa kuwa wote kwa pamoja waliwashambulia kwa majabali na silaha za uchimbaji wafanyakazi sita wa Kampuni Franone inayochimba Mgodi wa madini ya Tanzanite kitalu C kwa kushirikiana na serikali.

Mbali ya Saitoti walioshitakiwa wengine ni pamoja na Petro Exsaud(48) mkazi wa Moshono Arusha,Mosses Kelerwa(45) mkazi wa Mirerani,Daniel Siyaya(44) mkazi wa Ilboru Arusha, Mosses sirikwa (46) mkazi wa Ilboru,Dausen Mollel(58) Mkazi wa Ilboru na,Enock Nanyaro(32) mkazi wa Arusha.

Katika shitaka la kwanza,Mwendesha Mashitaka wa Polisi alidai kuwa shitaka hilo linawahusu washitakiwa wote kwani ilidaiwa kuwa March 13 mwaka huu waliwashambulia  kwa majabali na vifaa bya uchimbaji wafanyakazi sita wa Franone akiwemo Benson Banash,Vedastus Swea,Alvin Msuya,Swetbert Albogast,Mussa Unambe na Bonfance Mollel

Hamilton alidai kuwa washitakiwa hao walitenda kosa Hilo wakati wakijua wazi kuwa kufanya kosa hilo nikosa kisheria lakini washitakiwa wote walikana shitakana hilo na walikidhi vigezo vya dhamana kwani kila mshitakiwa alidhaminiwa na mdhamini mmoja na bBondi ya shilingi milioni moja na washitakiwa walikidhi vigezo vya dhamana na upelelezi wa Kesi hiyo bado haujakamilika kesi hiyo itatajwa tena aprill 14 mwaka huu katika mahakama hiyo.

Kwa mujibu wa Mwendesha Mashitaka wa Polisi alisoma shitaka la pili linalowahusu washitakiwa wawili akiwemo

Saitoti na Joel Mollel (50) ambao ilidaiwa wameshitakiwa kwa kwa shitaka moja la kukaidi amri ya Wizara ya Madini ya ambapo ilidaiwa kuwa walizuiwa kufanya shughuli za uchimbaji baada ya mtobozano na Kitalu C lakini walikaidi na kuendelea na kazi wakati wakijua wazi ni kosa.

Washitakiwa walikana shitaka hilo na walipewa dhamana ya mtu mmoja mmoja na kufanikiwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuweka Bondi ya shilingi milioni moja na kwa mujibu wa Mwendesha Mashitaka wa Polisi alidai kuwa upelelezi wa Kesi hiyo umekamilika na washitakiwa wataanza kusomewa Maelezo ya Awali April 14 mwaka huu.

You Might Also Like

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

Edwin TZA March 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kamati ya kudumu ya Bunge ya nishati na Madini yaridhishwa na kasi ya Maendeleo ya Mradi huu
Next Article Mlipuko wa polio watangazwa nchini Burundi kulingana na ripoti ya WHO
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?