Michezo

Messi kakubali kujiunga PSG

on

Sky Sports wameripoti kwamba sasa ni rasmi makubaliano kati ya PSG na Lionel Messi yamefikiwa na muda wowote leo Messi atawasili Paris kwa ajili ya kukamilisha uhamisho huo.

Mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Messi atakua akilipwa mshahara wa euro milioni 35 kwa mwaka (Tsh Bilioni 95.1) ambapo pia kuna uwezekano akasaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Mwandishi maarufu kwa kuripoti habari za usajili kutokea Italia Fabrizio Roman amesema kuwa kuna uwezekano wa Messi kutambulishwa kesho.

MESSI MALAIKA MOTONI, GENGE LA UHALIFU, MAAJABU YA BIBI YAKE, LAANA YA BABU YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments