Michezo

Messi kukosekana katika mchezo wa kesho PSG dhidi ya ‘Metz’

on

Ni Septemba 21, 2021 ambapo Klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa “PSG” imetoa taarifa kuwa nyota wake aitwae ‘Lionel Messi’ atakosekana katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa dhidi ya Metz.

Aidha mchezaji huyo ataukosa mchezo huo kutokana na maumivu ya goti la mguu wa kushoto.

Metz dhidi ya PSG unatarajiwa kuchezwa kesho Septemba 22, 2021. 

MBWEMBWE ZA MARIOO UWANJANI AKISINDIKIZWA NA PIKIPIKI KWENYE SIMBA DAY

 

Soma na hizi

Tupia Comments