Michezo

Messi katika rekodi nyingine ya idadi ya mechi alizocheza katika timu yake ya Taifa..

on

mee

Lionel Messi amefikisha mechi ya 100 akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Argentina wakati alipokichezea katika mechi ya michuano ya Copa America dhidi ya Jamaica.

mee2

Katika mchezo huo ambao Argentina iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamaica, shujaa wa usiku huo alikua ni Higuain ambaye ndiye aliyepachika bao hilo.

mes3

mesi4

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

 

Tupia Comments