Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Michezo

Alichofanya Messi baada ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Barca

on

showbiz-lionel-messiJumamosi iliyopita Lionel Messi aliweka rekodi nyingine kubwa kwenye soka dhidi ya Osasuna aliifikia na kuipita rekodi ya magoli ya gwji wa klabu ya FC Barcelona Paulino Alcantara ambaye aliifungia Barca jumla ya mabao 369.

BjCn3tyCYAAl8_8Messi aliivunja rekodi hiyo kwa kufikisha mabao 371 baada ya kupiga hat trick dhidi ya Osasuna ambapo katika kusherehekea rekodi hiyo, Messi aliamua kuvaa jezi ya Paulinho Alcantara pamoja na mpira vyote hivyo vikiwa ni vifaa vya michezo ambavyo Alcantara alivitumia miaka ya 1920.

 

Tupia Comments