Michezo

Rekodi nyingine aliyoiweka Messi kwenye soka.

on

1975091_10152095569533598_606019277_nHuyu ni mshambuliaji wa FC Barcelona ambae jana aliweka rekodi nyingine kubwa kwenye mechi nchini Hispania.

Jana usiku Lionel Messi alifunga magoli 3 kati ya manne kwenye ushindi wa 4-3 dhidi ya Real Madrid Santiago Bernabeu ambapo kwa goli zake tatu ametimiza jumla ya magoli 21 katika mechi za El Clasico hivyo kumpita gwiji wa soka wa klabu ya Real Madrid Alfred Di Stefano ambaye alikuwa akiongoza kwa kufunga 18.

Pia Messi amekuwa ndio mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kufunga hat trick katika El Clasico kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu.

ORODHA YA WACHEZAJI WALIOFUNGA MENGI KWENYE EL CLASICO

Player
Lionel MessiAlfredo Di StefanoRaul GonzalezCesar Rodriguez

Francisco Gento

Ferenc Puskas

Club
BarcelonaReal MadridReal MadridBarcelona

Real Madrid

Real Madrid

Goals
21181514

14

14

Tupia Comments