Michezo

Video: Lionel Messi aweka rekodi mpya – Barca wakiua Osasuna 7-0

on

1970647_10152423139224305_1639893173_nLionel Messi jana alifunga mabao matatu kati ya 7 yaliyofungwa na FC Barcelona dhidi ya Osasuna katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania uliochezwa jana. Mabao hayo matatu yamemfanya Messi kuwa mfungaji bora kabisa wa muda wote wa FC Barcelona baada ya kufikisha mabao 371 akivunja rekodi ya Paulinho Alcantara aliyekuwa kafunga 369. Tazama video chini.

Tupia Comments